Nov 29, 2013

Kwa Office nikikungoja wewe!
Office yetu ni wakala wa:-
DStv,Azam tv na Zuku.
Pengine toka ilipotulazimu tuingia kwenye Digital,ndugu yangu wewe bado hukuwa tayari,ama hujui ni King'amuzi gani bora cha kununua na ukapata kile ulichokuwa unakihitaji!
Una Dish linasumbua hujui mafundi wa uhakika utapata wapi!?
Unahitaji kununua Dish na hujui lipi ambalo utapata kile upendacho!
Umejenga ama unajenga Hotel,Lodge,Guest House na hujui wapi uatapata mtaalamu wa kuwezesha kufanya tv zako zote zilizomo kuonyesha channel uzitakazo na zinazopendwa na wengi bila chenga!?
Office yako nadhifu,unataka kufunga flat screen ili uone channel pendwa huji mtaalamu pa kumpata!?
Hujui wapi utapata vifaa vyote vinavyohusiana na Madish!?
Majibu ya Maswali yote hayo ni moja tu!
Mimi Mustapha MaDish Technician!
Si kwa maneno bali kwa taaluma yangu nauzoefu nilionao!
Nimeshafunga Ikulu ofisi ya waziri mkuu
Paradise ambayo sasa JB Belmont
CRDB Bank Azikiwe,Mikocheni,Mlimani city.
Gerrafe View Hotel
Bahari Lodge
Dotto-Diwani wa kigamboni
Masaburi-Meya ya D'salaam
Mengi-M'Mtendaji IPP Media
Richmond tower
Flat za BOT
na sehemu nyengine nyingi zisizo na idadi!
Tunauza na kufunga Dish Antenna Aina zote.
Kwa Office,Hotel,Apartment n Majumbani.
Wapi napatikana mimi na Crew yangu?
D'salaam,Morogoro rd,MagomeniMapipa
Office:+255789476655
mustaphamadish@gmail.com
Karibu!
11:09 AM   Posted by Mustapha Hanya in , , with 6 comments

6 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Si nilisikia Tarehe5 vinaanza kuuzwa,mi nataka mbona mnaanza kusua sua!?
bei si ilikuwa 95000 imekuwaje tena?

Thomas Majuto said...

Je mikoani azam tv inapatikana?

Thomas Majuto said...

Azam tv inapatikana mikoani?

Anonymous said...

nawezaje kufika hapo!?

Mustapha MaDish said...

Azam tv inapatikana Tanzania nzima@Thomas

Anonymous said...

Mimi ni mmoja kati ya waliohudumiwa na wewe mtaalamu mustapha madish kiukweli upo vizuri sana hongera mdogo wangu!

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search