Dec 6, 2013

Leo tarehe 6/12/2013 tumeanza rasmi kuuza Azam tv Tanzania nzima.
Pengine unajiuliza bei gani?
Ina channel ngapi?
Channel zipi?
Wapi utaipata azam tv?
Bei ni Tsh 135,000/= Full Installation ( Bei ya zamani hii )
KUJUA BEI MPYA YA KUNUNUA KING'AMUZI Bofya Hapa
Nikiwa na maana unapata:-
Decoder
LNB KU
Cable mt20
Dish KU
Kufungiwa.
Kwa mwezi ni Tsh 12,500/=
Ina channel 52 kwasasa!
Ambazo ni:-
 1. Clouds tv
 2. TBC
 3. Channel 10
 4. Azam one
 5. Azam two
 6. Citizen tv
 7. K24
 8. NTV
 9.  ZBC
 10. KTV
 11. NBC
 12. Bukedde tv2
 13. Urban tv
 14. MBC1
 15. MBC2
 16. MBC3
 17. MBC4
 18. MBC Action
 19. MBC Max
 20. MBC Drama
 21. MGM Movies
 22. Etv Africa
 23. African Movie
 24. MTV base
 25. Box tv
 26. Landscape
 27. Setanta Africa
 28. My Sport channel
 29. MS Compact Sports
 30. National Geo
 31. Discovery Science
 32. Discovery INve
 33. Fine Living
 34. Outdoor Channel
 35. BBC News
 36. Al jazeera New Engl
 37. Al jazeera New Arab
 38. Al jazeera Kids
 39. Times Now
 40. Nickelodeon
 41. Kids co.
 42. Al arabiya
 43. Wanasah
 44. Star Plus Me
 45. Colours
 46. Zoom
 47. Star Gold Int
 48. Zee Cinema
 49. Zing
 50. MTV India
 51. Sinema zetu
 52. Info
KUJUA VIFURUSHI & CHANNEL ZILIZOPO KWASASA Bofya Hapa 
Mustapha MaDish

Azam tv inapopatikana:
Dar es salaam
Morogoro rd,Magomeni Mapipa.
Office: +255789476655
Burudani kwa wote

4:23 AM   Posted by Mustapha Hanya with 7 comments

7 Unasemaje..??:

John felix Daudi said...

je kama fundi nnae huku mikoani inakuwaje kuhusu price hapo@mustapha?

Anonymous said...

Nahitaji huduma zenu lakini mi nipo mkoani nafanyaje na je itakamata?

Anonymous said...

Nahitaji kama set 50 ntaweza pata nipo Mopogoro

Mustapha MaDish said...

Set 50 na zaidi zinapatikana na Azam tv Tanzania nzima inakamata!

Anonymous said...

Vp kahama Kuna agent?

Anonymous said...

Mi ntawatembelea tarehe 31 mmungu akitujaalia uzima!

Anonymous said...

kaka nashida na hiyo king'amuzi lakini sijajua kama huku mpanda kitakamata!

Call +255789476655

 • Text +255759091445

Follow

Search