Dec 21, 2013

 Njiani kuelekea .......................!!!


Kuelekea funga mwaka kwetu ni mbio tu!!
Leo kazi ya kwanza tumeamkia mkoa Pwani wanapaita Mkulanga,hii mimi ni mara ya pili narejea kufunga Dish ila safari hii Azam tv ikiwa ndo imenirejesha nikiwa na mtaalamu mwenyewe Herman!!
Kiukweli haikuwa tabu na mara nyingi ndivyo inavyokuwa,site ambazo nje ya mji ama mikoani tofauti na Dar es salaam ukifunga Dish katika pisition husika haisumbui kupata signal ila katikati ya jiji ukifunga dish kama si mzoefu lazima itakutafuna!
Hapa Mkulanga ni karibu kabisa na shule ya msingi ya mkulanga,tulitumia saa 1 tu kufunga azam tv na kugeuza mkoa wetu wenye kila aina ya majambo!
Ilikuwa tuingie pale Mbagala ila kwa bahati mbaya mteja wetu wa azam tv alisema anaenda kuangalia mpira hivyo tufanye kesho!
Ratiba haikuishia hapo tukapandisha mpaka mbezi kwa Msuguli hapa tukafanya ya kupendeza then tukachapa mwendo mpaka Mbezi Maramba mawili azam tv ikiwa inaonyesha kuwa watanzania wameielewa!
Baada kuuza kama kawa ratiba ilisema twende kunduchi mtongani lakini kutokana na muda hatuna budi kukubaliana na mipango ya Mungu,hivyo wajibu wetu kupumzika na Inshallah kesho ratiba itaendelea tukianza na vilivyolala!!!
Niwatakie maandalizi mema ya X mass na mwaka mpya wadau huku nikiwashukuru kwa kila hatua ambayo tulikuwa sambamba zaidi ya yote usisahau kuwa hii ni nyumba ya ving'amuzi!
Uliza,Sema,Nunua ama chochote kuhusu kinga'amuzi chochote ukijuacho ama unachokisikia!
10:14 AM   Posted by Mustapha Hanya with 8 comments

8 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Safi sana pigeni kazi vijana huu ndio wakati wenu,huwa napenda sana kuona vijana mnafanya vizuri na kutumia fulsa zilizopo kutengeneza maisha,Madish wewe ni kati ya vijana wachache sana wanaotumia mtandao vizuri ni nisikufiche kwa juhudi zako utafika mbali sana!!

Anonymous said...

Safi sana pigeni kazi vijana huu ndio wakati wenu na sitachoka kuwapongeza,Madish wewe ni kati ya vijana wachache sana wanaojua umuhimu wa mtandano na kuutumia vizuri kutengeneza maisha ijapokuwa kuna vitu vidogo vidogo vya kuboresha ila kiujumla unafanya vizuri sana,unatoa maelezo sahihi kuliko hizo kampuni za ving'amuzi zilizopaswa kufanya hivyo,umeona fulsa na unaitumia ipasavyo big up kaka!

Anonymous said...

Mbona jana napiga simu ya office ilikuwa inaita tuu na baadae ikwa haipo hewani,nahitaji huduma zenu inakuwaje

Anonymous said...

Kibaha hapa nipo naweza kufungiwa na mimi?

Anonymous said...

Heri ya mwaka mpya kaka!!
Mi nauliza kuhusu aljazeera una lolote la kutuambia?

Anonymous said...

Heri ya mwaka mpya kaka!!
Mi nauliza kuhusu aljazeera una lolote la kutuambia?

Anonymous said...

nna maswali mengi sana ya kukuuliza kaka ila nipo mbali sana naweza pata email yako!? ama no.unayotumia wtsp!

Anonymous said...

Nashukuru sana kwa msaada wako,elimu uliyonipa ni ya zaidi ya darasani asante sana mkuu!
Geita

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search