Dec 20, 2013

BAADHI YA CARD ZA ALJAZEERA ZIMEFAIL!

Kuna baadhi ya wateja wa Aljazeera sports wanalia sasa kama si kuhaha na kudhani pengine ndo imeshakula kwao maana wanakosa jibu la uhakika kuhusu card zao! Ukweli ni kwamba kuna baadhi ya card zimefail na tatizo ni la kwao wenyewe na kwa mujibu wao wanalifanyia kazi! Je wewe ni miongoni mwao ama!!?
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

5 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Hakika tatizo hilo hata mimi limenifika,nashukuru kwa taarifa kaka,endelea kutupa info!

Anonymous said...

Mimi yangu ipo vizuri!
Ila nilisikia ni fitna na DSTV kwakuwa ndio wapinzani wao wakuu eti kweli kaka!

Anonymous said...

Dstv wameshafanya yao na zitakata zote,kwani huo ndio mwanzo la msingi kujipanga wadau!

Anonymous said...

Eti kaka kwenye ft 8 nasikia zinapatikana je ni kweli!?

Anonymous said...

hizo decoda za aljazeera zinapatkana wapi na bei gani malipo kwa mwezi?