Dec 24, 2013

+255789476655 AU +255659161111 HUDUMA HII INAKUFIKIA
 Kuelekea funga mwaka na Azam tv ikiwa inaendelea kufanya vizuri,nasi tukiendelea kutekeleza wajibu wetu kama kawa kama dawa!
Ndani ya Bondeni Hotel ya Magomeni Mapipa Morogoro rd.
Hapa Azam tv nayo ilionekana umuhimu wake!Dumee akiwa na Mustapha MaDish baada ya kumaliza kufanya yetu!
7:01 AM   Posted by Mustapha Hanya with 1 comment

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Ngoja nami nimalizie kahoteli changu ntawatafuta mbona!

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search