Dec 13, 2013

 Niliwahi kupokea simu siku za hivi karibuni kutoka Nairobi,swali likiwa je kama atanunua Azam tv inaweza ikakamata! Jibu la swali hilo ama linalofanana na hilo ni hili kwenye hii picha hapa chini!

 Angalia kwa umakini nchi ambazo ukifunga Azam tv inakamata kama upo Dar es salaam!
Kwa maelezo zaidi usisite: +255789476655/714 973797/659161111            


11:14 PM   Posted by Mustapha Hanya with 3 comments

3 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Kama ni hivyo sawa kaka asante kwa ufafanuzi,nitakuja kununua

Anonymous said...

Hapo nafikaje?

Anonymous said...

sasa kama huyu mengi anchobana ni nini wakati anapata fulsa ya kujitangaza zaidi nje ya tanzania,aweke na dtv ni ya ukweli mnoooo

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search