Dec 15, 2013

Awali ilikuwa TBC1 pekee,ambapo baadae ikaongezeka na STAR TV na hivi karibuni CHANNEL 10 nayo imeongeza idadi na kuwa channel 3 za Tanzania zinazopatikana DStv5:25 AM   Posted by Mustapha Hanya with 4 comments

4 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Waambie tunataka na za mengi

Anonymous said...

Hizo si ni za free na mbona usipolipia hazionyeshi vipi?

Anonymous said...

Hizo si ni za free na mbona usipolipia hazionyeshi vipi?

Anonymous said...

Kuna uwezekano wa kuziongeza channel za tanzania?
Ila waambie mbona wapo expensive sana hata kama hawana mpinzani wshuke shuke kidogo kwa full package

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search