Dec 9, 2013

 King'amuzi kipya ila kimeteka wadau wengi kutokana na ubora wake achilia mbali urahisi wa kununua!
Tunasahau vile ving'amuzi vinavyotumia Antenna vinavyolalamikiwa kila kukicha kwa kukata kata picha!
Azam tv ukiacha sifa ya kutumia Dish,Decoder zetu pia ni HD picha unaiona kama ilivyo!
Kuunganishwa ni Tsh 177500/=
Unapata Decoder,Dish,Cable na Kufungiwa!
Ili uone itakulazimu ulipie malipo ya mwezi ambapo ni Tsh 12,500/=
Unapata jumla ya channel 52
Zikiwemo na za Tanzania!
+255789 476655/659161111/714973797

 Herman kazini

 Usiulize tena...

 Hapa tumeshauza

Kuna nini tena kama sio maufundi!

 Dr MaDish akifanya yake

10:53 AM   Posted by Mustapha Hanya with 10 comments

10 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Kama unatokea town ni upande wa kushoto ama kulia!?

Mustapha MaDish said...

Kama unatokea Town ni upande wa kulia!

Anonymous said...

kina channel gani?

Mustapha MaDish said...

http://mustaphamadish.blogspot.com/2013/12/azam-tv-inapopatikana.html

Mustapha MaDish said...

Clouds tv
TBC
Channel 10
Azam one
Azam two
Citizen tv
K24
NTV
ZBC
KTV
NBC
Bukedde tv2
Urban tv
MBC1
MBC2
MBC3
MBC4
MBC Action
MBC Max
MBC Drama
MGM Movies
Etv Africa
African Movie
MTV base
Box tv
Landscape
Setanta Africa
My Sport channel
MS Compact Sports
National Geo
Discovery Science
Discovery INve
Fine Living
Outdoor Channel
BBC News
Al jazeera New Engl
Al jazeera New Arab
Al jazeera Kids
Times Now
Nickelodeon
Kids co.
Al arabiya
Wanasah
Star Plus Me
Colours
Zoom
Star Gold Int
Zee Cinema
Zing
MTV India
Sinema zetu

Anonymous said...

Mnafanya kazi nzuri sana hata info zenu nimezipenda hata hao makao makuu wanasubiri

Anonymous said...

Kaka naomba kazi kaka!

Anonymous said...

achat cialis vente cialis
vente cialis cialis generique
comprar cialis cialis generico
prezzo cialis acquistare cialis

Anonymous said...

cialis acquistare cialis

Anonymous said...

cialis precio cialis

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search