Dec 27, 2013

POPOTE ULIPO TUPO NA WEWE
Mwaka tunaumaliza vema na tukisisitiza ya kuwa popote ulipo tupo nawe,king'amuzi chako kinakuweka karibu nasi huku ukiwa unaizunguka dunia ukiwa na tv yako!
USIHOFU ULIPO NI WEWE TU KUWA TAYARI KUPOKEA HUDUMA ZETU KWA KUPIGA NO.
+255789476655/714973797/659161111

Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Najivunia kuwa mmoja wa wadau waliohudumiwa na wewe Mustapha MaDish no 1 like u hasa kwa age yako!

Anonymous said...

KAKA UPO VIZURI SANA LAKINI NASIKITIKA NILIKUJA OFFISINI KWAKO SIJAPATA KUKUONA ILA NILIPATA HUDUMA ILIYONZURI LAKINI NINGEFURAHI KAMA NINGEHUDUMIWA NA WEWE KAKA