Dec 5, 2013

Matakwa ya mteja ndo wajibu wetu ukizingatia mteja kwetu mfalme na ndiye anayetufanya sisi tuendelee kuwepo mtandaoni na maisha kuendelea!

 C babd ft6

 Mwanaume kazini

 Mustapha MaDish

 Angalau sura inaonekana

 Herman Akifanya yake

Alihitaji kuona Channel za kiarabu ya msingi zaidi kwake Oman tv ila zisiwe za kulipia!
Kwakuwa ndio kazi yetu tukatekeleza la mteja!
Kwa kutumia c babd ft 6,Lnb KU,Receiver ya kawaida tu,tukatumia taaluma kumtekelezea mteja wetu kile alichokihitaji!
Tukaweka Oman tv na channels nyengine ambazo ukijumlisha unapata idadi ya channel 100!
zote zikiwa bure pasipo malipo!
Nawe wahitaji huduma zetu?
Yote yanayohusu Dish Antenna,ama Ving'amuzi.
+255714 973797/789476655/659161111
10:49 AM   Posted by Mustapha Hanya with 1 comment

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

kuna mtu aliniambia unapata local kwa dish ndogo vipi inawezekana kaka!?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search