Dec 31, 2013


Mwaka ndo unaishia hivyo leo ikiwa Tarehe 31/12/2013 dah! yaani hata siamini wallah!!
La msingi nashukuru Mungu kwa kunijalia pumzi mimi,timu yangu nawe mdau wetu kama u bu kheri wa afya kama ilivyo sisi!!
Wapo wengi waliotamani kufika leo ila kwa mapenzi yake mungu hatunao tena,tuwakumbuke kwa kuwaombea dua na kuwatolea sadaka kwa ajili yao kama kweli tunamapenzi nao!
Mwaka ikiwa unaishia tunapenda kuomba radhi kwa wale wote tuliowakosea maana hakuna aliyekamili chini ya jua,mimi binafsi na kwa niaba ya Mustapha MaDish Crew tunawatakia heri ya mwaka mpya!!
Msherehekee kwa amani na utulivu!!
Katika kazi kuna changamoto nyingi sana na ukizingatia sisi tunafanyakazi na watu wa aina tofauti,sehemu tofauti kiukweli wakati mwengine changamoto zinakuwa za kiwango kikubwa mno lakini cha kushukuru tunafanikiwa kukabiliana nazo zaidi ya yote tukumbushane hii ni kazi kama zilivyo kazi nyengine la msingi ni kuheshimiana ili lengo litimie!
Zaidi ya yote yale maoni yenu yote tunayafanyia kazi ili mwaka unapoanza uanze tukiwa wapya hasa!!
MALIZA MWAKA FUNGUA MWAKA UKIJUA!!
Kuwa hapa ndipo nyumba ya ving'amuzi vyote unavyovijua wewe Tanzania!
Tunauza na kufunga kwenye nyumba hadi nyumba,maofisini,kwenye Hotel!
Mafundi wana uzoefu unaomaliza mwaka wa 7 mpaka sasa!!
Namba yetu ni ile ile +255789476655 Office.
+255659161111 Technical support.
8:49 AM   Posted by Mustapha Hanya with 1 comment

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

nawe kaka heri ya mwaka mpya wewe,familia yako na team yako kwa ujumla mnafanya mazuri tena ya kupendeza ukizingatia ni vijana wadogo ila mmejipanga,ni machache tu ambayo naamini mwaka huu mmejipanga zaidi

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search