Jan 18, 2014

Wanamwita Dume la Mamba!

Elias hapa a.k.a Driller!

Baba Fetty tena!

Dume la Pelege huyu wakujiita Chimpo!

 Mustapha MaDish!

 Wazee wa Kazi!

Hapa kazi tu!

...... na Baso!Cable master,Mzee wa Bomba,Master signal,kiraka na AV cable wakiwa wamekula pooozi!!

 Hapa kazi tuu hizi picha mbwembwe tu!

 Cable Master na Mzee wa Bomba!

 Master signal na Kiraka

 Kiraka na AV Cable!

AV cable a.k.a Chimpo a.k.a Dume la Pelege!
Kazi inaendelea,wakati mwengine tena itakapokamilika tutaonana tena kumalizia ya TUCTA.....!
11:47 AM   Posted by Mustapha Hanya with 1 comment

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Hakika mnafanya kazi nzuri na inaonyesha team imekamilika ila nami nina kijana wangu nilitaka apate ujuzi wenu nafanyaje hata gharama nitalipia!

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search