Jan 21, 2014

OFFICE ZA TUCTA TUMEMALIZA KUFUNGA DSTV NA FLAT SCREEN!

Mwendo ni ule ule kazi nzuri ndo sababu ya kutufanya tunapata tenda zaidi kwa maana wateja zetu ndio mabango ya matangazo ya kazi zetu!
Office za TUCTA pale mnazi mmoja,siku ya kwanza nilienda kukagua kaziHapa nishakagua kazi siku ya kwanza.
Siku ya pili nikaingia mzigoni na CREW yangu kazi kazini!

Tukiwa juu mjengoni!
Juu tulipomaliza tukahamia ndani,sehemu ya kwanza ni katika chumba cha mikutano!

 Ukumbi wa mkutano kabla hatujafanya yetu

 Kazi imeanza..

Tunapanda kwa umakini wote

Mtaalamu Baso akitoa TV kwa Box

Mzigo ndo huu!Pima pima zikiendelea

Hapo....!!

 Flat screen kuelekea kupima

Vipimo vikiendelea

TV bracket tayari kwa ukuta

Maelekezo yakiendelea

Chumba cha mkutano tumeshauza
Tukahamia vyumba vyengine mwendo ule ule,tukizingatia kazi safi na bora!


Baba yake na Fetty huyu!

Mzee wa Nyembe!

.........!!!

Kazi imekamilika

Chimpo!!

Mustapha MaDish

Macho yako yanasemaje

huyu ndo kafunga kazi!
Tumemaliza kufanya yetu tuliyoagizwa kufanya hapa!
Kama nawe unataka CREW hii ipendezeshe office yako/Hotel yako/Nyumbani kwako ama popote ni rahisi sana kutupata!
Tupo Morogoro rd,Magomeni Mapipa.
Office:+255789476655
Mobile:+255659161111
Popote ulipo nasi tupo na wewe!!
Yote yanayohusiana naving'amuzi vyote uvijuavyo tutembelee!!
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

3 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Mustapha jana nimepiga sana simu yako ilikuwa inaita tu,baadae akapokea mtu na kuniambia upo site na hakuwa msaada kwangu kwamaana mi nahitaji kuzungumza nawe nina kazi ya Hotel sasa nataka kujua tutaifanyaje.

Anonymous said...

Hakika mnafanya ya kupendeza hongereni sana vijana,Pongezi sana kwakuwa ni vijana wachache sana wanaojituma kama ninyi!
Nimekuwa mfuatiliaji wa kazi zako muda sana na kila kukicha unapanda ngazi hii inaonyesha ni jinsi gani u makini na kazi yako sasa usijisahau uzi huo huo Mtoto wa madish

Anonymous said...

Nimekutana na mafundi wengi wababaishaji kiasi kwamba Madish yangu nyumbani kama urembo yapo lakini toka nilipoona hii blig na kuifatilia hakika Mustapa MaDish utakuwa solution ya tatizo langu,nipo safari ila nikirudi tu nitakutafuta!