Feb 28, 2014

BEI ZA VING'AMUZI VINAVYOFANYA VIZURI!

Kiukweli king'amuzi chenye wateja wengi kwa hapa kwetu Tanzania ni DSTV ukiachilia ukongwe walionao pia vipindi vyao ndo sababu kuu ya kuuza na kama ulikuwa hujui matokeo ya wadau yanaonyesha mpira ndio unauza sana!!
Bei ya DSTV kwa sasa ni 149000/=

King'amuzi ambacho kinauzika zaidi kwa sasa ni Azam tv mpaka sasa ninapoiweka post hii hakuna king'amuzi cha kulinganisha na Azam tv zaidi ya DSTV maana ndipo Azam tv inapoelekea.
Kwa office ninauza ving'amuzi karibia vyote ila kwa siku nauza Azam tv kuanzia 5 mpaka 15 kwa sasa ila kipindi inaanza tulikuwa tunauza kuanzia 17 mpaka 22 hii inaonyesha ni jinsi gani wadau wamepokea vema hii Azam tv!
Bei ya Azam tv ilikuwa tsh 147500/= ikiwa na mwezi mmoja ndani,lakini kwa sasa imepanda na imekuwa ni tsh 165000/=
Katika kununuliwa kinanunuliwa sana kuliko ving'amuzi vyote,nimejaribu kuagalia kwa haraka haraka ni kwasababu ni kipya ama ila ukiangalia zaidi ni kutokana na channels zilizopo na unafuu wa bei hasa malipo ya mwezi ambayo ni tsh 12500/=


King'amuzi cha Zuku kilikuwa na offer ya tsh 75000/= ambapo sasa imepanda na kuwa tsh 105000/= full installation lakini pia ununuzi wake si mzuri sana ijapokuwa inanunuliwa!

DIGITEK tsh 120000/=
STARTIMES
YA ANTENNA tsh 79000/=
YA DISH tsh 105000/=

............... Maelezo zaidi
Mobile: +255714973797/659161111
Office: +255789476655
Email:mustaphamadish@gmail.com
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

eti kak kuna mtindo wa kupata dstv kwa njia ya mtandao hyo inakuaje ...kwa sas natumia azam tv

Anonymous said...

King'amuzi cha azam tv kitaonyesha world cup!!??