Mar 1, 2014

 Mustapha Madish

 Mustapha MaDish na Herry Msamila

 Ba'Fetty
Hii ni kwa nchi yetu tu na baadhi ya nchi za Africa Imezoeleka kuwa yeyote aitwae fundi bila kujali wa nini kinachofuata ni dharau na mtu anakujengea picha lazima utakuwa mchafu!
Naongea na wateja wengi sana kwa simu bila kuonana ila siku tunapokuja onana ama kumkaribisha kwa office na kuona crew ya Rangers anasema kakutana na kitu tofauti ambacho hakuwa amekiwazia apatapo huduma ndo inakuwa tumemaliza kiu ya muda mrefu!
Kiukweli hatukuwahi kupata lawama kubwa kubwa ijapokuwa kuna lawama ndogo ndogo na kwetu ni changamoto na huwa tunamaliza tatizo kwa wakati!
Tunapata lawama kutokana na ukweli kwamba wateja wetu wanatofautiana kwa ujumla kuna waelewa na kuna wale pasua tena pasua ile yenyewe kabisa kwa maana inapelekea mpaka unajuta kumuhudumia ila kwakuwa ndo kazi tunajitahidi kutekeleza huduma iliyotakiwa na mteja husika ijapokuwa wanapenda kukimbilia kwenye lawama!
+255789476655
6:16 AM   Posted by Mustapha Hanya with 1 comment

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Hivi Mustapha MaDish ndiye baba Fatty!!??

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search