Mar 15, 2014

ZILIANZA CHANNELS 52...


Naizungumzia Azam tv "Burudani kwa wote"
Awali zilianza channels 52 huku ahadi ikiwa zitakuwa zinaongezeka kila baada ya muda,wapo ambao waliamini na wapo waliodhani ni katika kutaka kuuza tu!
Kuanzia tarehe 28 mwezi wa pili utekelezaji ulianza kwa zile channels ambazo zilikuwa zinauliziwa sana ITV na EATV baada ya siku kadhaa FX na FOX INT nazo zimeongezwa!
Huu si mwisho bali ni muendelezo wa huduma bora kwa kile mnachokihitaji!
Channels nyengine zinakuja unaweza ukatoa maoni yako je unapendelea channels gani ziongezwe!!??
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

8 Unasemaje..??:

Anonymous said...

WEKA STAR TV

Prodius Rutaihwa said...

Top movies na Star TV

Anonymous said...

Angalieni uwezekano wa kutuwekea Hope tv, Emanuel tv, ATn na Star tv.

Anonymous said...

Bro tukiachana na tv channels naomba kuuliza swali na swali langu linaenda hivi:hivi namba za model ya receiver ya azamtv ni zipi?

Anonymous said...

Azam tv inasumbua sana wakati wa mawingu na mvua lishughulikieni tatizo hili

Anonymous said...

Azam tv inasumbua sana wakati wa mvua na mawingu lishughulikieni hili tatizo

Anonymous said...

weka channel za kihindi zaidi km B4u movies na Sony

tambu tamu said...

ongeza na weka
star plus,
zee tv
sony tv kihindi
b4u movies
life ok kihindi
michezo
za cricket