Apr 3, 2014

AZAM TV HUDUMA KWA WATEJA/MSAADA KIUFUNDI

Kila alipaye pesa yake ama anayetaka kulipa anategemea kupata huduma bora na kwa wakati
hilo tumelijua vyema na ndo maana tupo hapa kukuhudumia!
Mteja kwetu ni mtu muhimu sana hivyo macho yetu mawili ni kwako unayetaka kuhudumiwa nasi!


PIGA SIMU NAMBA +255789476655/714973797/659161111 KWA MSAADA ZAIDI.
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Mustapha madish hakika nakukubali sana hebu fanya kitu iwe kumbukumbu zidi ya hii blog naamini unaweza mungu akupe umri mrefu ili tuweze kufaidi uliyojaaliwa!

Anonymous said...

Dernier né en date chez Profession Bottier, ce derby marquera les esprits par son élégance intemporelle. Parmi les détails qui retiendront l'attention, on notera la présence d'un bout golf fleuri et de perforations bordant les coutures au talon.

[url=http://domaine-cauvigny.com/dc.asp?p_id=67839]Air Max Vert Fluo[/url]

Quand la mode s'inspire de l'outdoor