Apr 24, 2014

KUHUSU AZAM TV


Wadau,
Tunapokea malalamiko kutoka kwenu kuwa chanel za ZBC,K24 na NTV zinaandika ACCESS DENIED.
Kuhusu channel hizi za Kenya yaani K24 na NTV,hazitoweza tena kupatikana ndani ya Azam TV kwani tumepaswa kuziondoa kutokana na kutokuwa na haki za kuendelea kuzirusha nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa Wahusika wa hizo chanel,wametutaka tuzitoe na hazipaswi kuoneshwa nje ya mipaka ya Kenya...poleni kwa usumbufu wowote mliyoupata na utakaojitokeza.
Kuhusu ZBC sasa imerudi hewani lilikuwa ni tatizo la kiufundi tu lakini sasa limeshashughulikiwa na inaruka kama kawaida.
Azam TV Burudani kwa Wote.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NO.+255789476655
9:43 AM   Posted by Mustapha Hanya with 1 comment

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Mbona mmechelewa kusema na ni kwanini mlikuwa mmeweka channel ambazo hamkuwa na uhalali nazo mmeacha mpaka wadau tumezipenda ndipo mnatuambia why!!??

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search