Apr 23, 2014

NAENDELEA KUWAJUZA WATAALAMU WANGU...

Omary a.k.a smalling tayari anajulikana ila kwa mkono wangu wa kulia nawajuza ambaye hamkuwahi kumuona ama mlimuona ila sikuwa nimemleta rasmi kwenu anaitwa Rashidy a.k.a Mkenya..!!

Kushoto ni Omary,katikati hana jina na upande wa kulia ni Rahidy.
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Fanya hivyo mtaalamu ili tusije tukapewa huduma na vishoka!