Apr 25, 2014

NDANI YA NAPOLI LODGE

 Mustapha MaDish mzigoni!!Je unamiliki Lodge/Hotel na ungependa kupata channels kwa tv zako zote zilizopo kwa channel safi na zile zinazopendwa!!? Unachopaswa kufanya ni kuchukua simu yako na kubofya no.+255789476655/714973797/659161111 Ongea na Mustapha MaDish shida yako itakuwa imemalizwa!
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

2 Unasemaje..??:

dmwamasage said...

Tandale hii kiongozi...!!

Anonymous said...

Upo vizuri sana big up!!