Apr 22, 2014


...kutokana naukweli kwamba siwezi kufanya kila kitu mwenyewe lazima kuwe kuna mgawanyiko wa kazi ili mambo yaende kwa wakati na kwa ubora stahiki ndo sababu ya kuwa na team!
Team Kazi,Mustapha MaDish Crew unaweza kutuita Rangers tuna kila sababu ya kujivunia kufanya vizuri kwa vitendo na sifa za wateja zinathibitisha hili!
Naomba mnielewe wadau wangu ukihudumiwa na fundi yeyote ama mtu yeyote kutokea kwangu jua huduma utakayopata ni bora kama ambavyo ungehudumiwa na mimi kwakuwa wote ni matunda yangu na ikitokea hukufurahishwa na huduma uliyoipata toka kwetu unaweza wasiliana nami moja kwa moja kupitia:- +255659161111/714973797/,email:mustaphamadish@gmail.com,Face book:https://www.facebook.com/madishmaidsh.
Nipo na Team Kazi ya kutosha kila siku ntakuwa nawaletea ili wote wafahamike!
Siku hizi mara nyingi nipo ofisini mara chache sana naenda site,tena huwa naenda ikiwa Rangers Team si kama wameshindwa ila tu kuna kajiusumbufu cha signal/location ndo huwa naenda pitisha mkono wangu kutimiza lengo!
Ila wakati mwengine nakuwa namiss site hivyo naamsha mwanzo mwisho kama ilivyokuwa kuelekea pasaka na pasaka yenyewe 7bu vijana wangu walikuwa wanakula sikukuu...!!
 Hawa ni baadhi na wengine tuwe pamoja mtawajua wataalamu wangu wote!

 Anaitwa Hery a.k.a Dume la Mamba

 Anaitwa Flavian a.k.a


Huyu anaitwa Omary a.k.a Smalling!!


IKUMBUKWE KUWA SISI NI WAKALA WA DSTV,AZAM TV,ZUKU TV NA VING'AMUZI VYOTE UNAVYOVIJUA WEWE PIA TUNAUZA NA KUFUNGA DISH ANTENNA AINA ZOTE KWENYE HOTEL,APARTMENT,OFFICE NA MAJUMBANI!
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA +255789476655/714973797/659161111

4:40 AM   Posted by Mustapha Hanya with 1 comment

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Ni kweli mimi ni mmoja kati ya wale weengi waliopata bahati ya kuhudumiwa nawe,hakika mpo vizuri sana!!

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search