May 31, 2014

DSTV - KINONDONI MANYANYAOffer inaendelea  kufanya vema ukizingatia kombe la dunia ndo habari ya mjini kwa sasa!
Wadau wanataka brazil kuihamishia majumbani mwamo na hii ndo sababu ya kutufanya tuipeleke DSTV kinondoni manyanya!
Mustapha MaDish nikagonga sign yangu na kisha nikachapa mwendo!
PIGA NAMBA HII KUPATA DSTV +255789476655
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Mi nataka Dish tu ya DStv na maufundi yako ila Receiver nnayo je inawezekana na ni bei gani!?

Anonymous said...

Much luv kwako