May 28, 2014

PSPF - INSTALLATION YA DSTV

Mjengoni.

 Mlango mkuu wa kuingilia
Kuna mdau aliwahi kuniambia ndio jengo refu kupita yote dar es salaam,
linaitwa Golden Jubilee Tower lipo maeneo ya posta!
Binafsi ambacho naweza kusema ni refu kweli maana ukikaa juu ni balaa!!
Hapa ndipo zilipo office za PSPF - Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa umma.

Huduma yangu iliyohitajika hapa ni kuwezesha wadau kuona kila kinachoendelea kwenye DSTV.
Kwa bosi na Customer Care nami na team yangu kazi kazini!
 Flavian - Mtaalam Mwenyewe

Mustapha MaDish kama kawa!
Kazi ilichukua siku mbili hatimae tukamaliza!
+255789476655 NAWE UPATE KILICHO BORA
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

3 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Sawa!
Namalizia kaofisi kangu ntakucheck soon!

Anonymous said...

Mjengo mjengoni kama kawa!

Anonymous said...

Kaka nami nataka kujifunza hiyo kitu ila sins pesa ya kulipia chuo unanisaidiaje!?