Jun 18, 2014

DSTV TANZANIA IMETUPELEKA JANGWANI


...kuna mtu aliwahi kusema watu waishio mabondeni ili waweze kuhama watolewe huduma zote muhimu ikiwemo Umeme..
Leo napata jawabu hapa kwa mfano kama ingelikuwa aliyesema ndiye Meneja wa Tanesco sidhani kama angelisema hivyo..
Kama kweli umeme ungetolewa maana yake hata mimi leo nisingepata nafasi hii ya kuipeleka DSTV jangwani maana ni nyumba ya mwisho kabla ya kuufikia mto msimbazi..
Mengine muachie baba na mama!
PIGA +255789476655


Mwisho wa yote tukachapa mwendo!
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

3 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Watu wanataka world cup nyumbani!

Anonymous said...

wengine wanafanya michepk kicngizi mpila

Anonymous said...

Mi nipo mkoani ila nanufaika nawe thanx a lot kaka uctuchoke