Jun 6, 2014

DSTV TANZANIA OFFER Inafanya vizuri!

Baada ya kukumbuka site nimerejea kama kawa na leo nimeamka na DSTV ikiwa ni OFFER ya Tsh 129000/= Unapata kufungiwa na vifaa vyote isipokuwa inakuwa haina kifurushi cha mwezi!
Moja nilifunga kiwanja cha nyumbani Magomeni ila hii Magomeni Makuti!
Ya pili nilifunga sehemu moja wanapaita Kinondoni Manyanya.
Picha nazo zilipatikana ijapokuwa kwa uchachee!!
KUUNGANISHWA/MSAADA KIUFUNDI PIGA +255789476655

 Magomeni

 DStv magomeni

 DStv magomeni

 DStv kinondoni

 DStv kindondoni

 DStv kinondoni

DStv kinondoni
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Kaka hiko kidubwana kinachoitwa satellite finder naweza kukipata wapi!?
Je ni kwa dstv ama kwa dish yeyote unaweza kutafutia signal!?