Jun 6, 2014

C band kwa signal
 Kiukweli kwa kiasi kikubwa watumiaji wa Dish za Local wamepungua sana kutokana na ving'amuzi kumiminika na kuwa bei rahisi!
Katika uchunguzi binafsi nimegundua watanzania wengi wanapenda ving'amuzi vya madish na ukweli ni kwamba ving'amuzi vya kutumia Dish ndivyo ving'amuzi mkataba kwa signal!
Katikati ya jiji tukashusha signal za local kisha...!!
Mustapha MaDish baada ya kusign mi huyoooo!!
UNANIHITAJI!!!!???
+255789476655
4:31 AM   Posted by Mustapha Hanya with 2 comments

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Mi nipo na Dish yngu ya c band futi 12 nimetafuta mafundi kila anayekuja anadai anarudi lakini akiondoka inakuwa kimoja!
Kuna mtu alinipa hii blog hakika umenisaidia mkuu big up!

Anonymous said...

If you have ever wanted to get a free netflix account, you have found the right spot.
This site is giving them away absolutely free, so go receive your free account today for netflix.

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search