Jun 7, 2014

Kila kona si ya Tanzania pekee ni dunia nzima story ni kombe la dunia hata kama nchi husika haijapeleka timu yao kama  ilivyo sisi Tanzania,bado haitukatazi kuwa na msisimko na kombe hili!
Kwanini kutokana na upenzi wa mpira wa miguu kwa ujumla kwa maana hiyo ukiacha burudani kuna kujifunza pia sasa wacha niwape ratiba itakavyokuwa kuanzia tarehe 12/06/2014

Trh 12/6/2014-Brazil v Croatia saa 5 kamili usiku.

Trh 13/6/2014-Mexico v Cameroon saa 1 kamili usiku.
Trh 13/6/2014-Spain v Netherlands saa 4 kamili usiku.
Trh 13/6/2014-Chile v Australia saa 7 kamili usiku.

Trh 14/6/2014-Colombia v Greece saa 1 kamili usiku.
Trh 14/6/2014-Ivory Coast v Japan saa 10 usiku.
Trh 14/6/2014-Uruguay v Costa Rica saa 4 kamili usiku.
Trh 14/6/2014-England v Italy saa 7 kamili usiku.
11:38 PM   Posted by Mustapha Hanya with 1 comment

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Mbona umeweka za siku tatu kiongozi fanya tupate ya jumla..

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search