Jun 10, 2014TUNAWAOMBA RADHI KWA USUMBUFU MLIOUPATA NA MNAOENDELEA KUUPATA...
Yapata wiki sasa Decoder za Azam tv zimekauka na huwa tunapata wakati mgumu sana kuwaruhusu wateja wangu kuondoka pasipo kupata walichokitegemea.....
TATIZO LIPO NJE YA UWEZO WETU ILA LINAFANYIWA KAZI KWA NGUVU ZOTE TOKA MAKAO MAKUU...
Tunachowaomba msituchoke,tunaomba muendelee kuwa wavumilivu na muda wowote toka sasa hduma zitaendelea kama ilivyo ada kuwauzia na kuwafungia wateja wapya!
TUNAWASHUKURU KWA KUWA WAELEWA..
Nachukua nafasi hii kuwashukuru wateja wetu wapya kwa uelewa mlio nao!
+255789476655 KWA MSAADA ZAIDI
4:52 AM   Posted by Mustapha Hanya with 5 comments

5 Unasemaje..??:

Anonymous said...

TULIPATA SANA SHIDA KWAKWELI

Anonymous said...

Mjipange bana ama ndio mmeshazidiwa!?

Anonymous said...

Hii inaonyesha kuwa mmeelemewa kabla hata ya mwaka kupita toka muanze inakuwaje!!??

Anonymous said...

Yapata wiki sasa natafuta king'amuzi cha azam kila nnapoenda naambiwa hakuna hii maana yake nini,mmezidiwa,mlikuwa mnabeep ama!!??
King'amuzi kama azam kinachomilikiwa na mzoefu wa biashara inakuwa hivi mambo gani jamani haya!
Lifanyieni kazi likaisha sio kila mara inakuwa mnatuomba radhi!

Anonymous said...

Jipangeni ictokee tena

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search