Aug 1, 2014

BEI MPYA YA AZAM TV


Kutokana na sababu za kiuendeshaji imelazimika yatokee mabadiliko katika kuuza king'amuzi cha Azam tv.
Bei mpya ya Azam tv toka leo Tarehe 1/08/2014 ni Tsh 165000/=
Inajumuisha vifaa na Ufundi.
Malipo ya mwezi ni ile ile Tsh 12500/=
Ukilipa Tsh 177500/= unapata kufungiwa kila ktu na mwezi mmoja bure,hivyo utapata miezi miwili. Kwa maelezo zaidi Piga : Mobile +255789476655/714973797/659161111 Mustapha MaDish
Office: +255789 476655

Jivunie kuhudumiwa nasi!
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

4 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Haya tena mi nilikuwa nangoja ishuke mara ohoo ndo mnapandiisha ah!

Anonymous said...

mnapanda mdogo mdogo

Anonymous said...

Great weblog right here! Additionally your web site lokts up fast!
What web host are you the use of? Can I get your associate link on your host?
I desire myy site loaded up as faset as yours lol

Feel free to visit my blog ... appliance repair las vegas

Anonymous said...

Kaka Madish hii blog yako iko poa sana imekuwa msaada kwa sisi watanzania maana wewe huna jumapili wala nini ila hawa azam wenyewe ukipga simu kupokea ni shida