Aug 31, 2014


Pichani ni dish ya Azam tv huku mvua ikiwa inachapa vilivyo...
maana yake ni kwamba ndani hapo picha imepotea...
Kinachotokea kwa Azam tv hata DSTV kinatokea..
Linapokuja swala la mvua Dish ndogo huwa zinaelemewa...
Hivyo kinachotakiwa ni uvumilivu wa muda mchache na mara mvua inapokata picha zinarudi kama kawaida..
Na ikitokea mvua imeisha na picha haijarudi ujue kuna namna..
Hapo ndipo utajua fundi wako alifanya kazi kwa kiwango gani...!!??
Tatizo lolote la kiufundi..
Msaada kuhusu chochote kinachohusu maDish..
Piga +255789476655 Mustapha MaDish
12:18 PM   Posted by Mustapha Hanya with 1 comment

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Ila azam inasumbua kwkweli je hakuna namna yeyote ya kiufundi kuliepuka hili..?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search