Oct 1, 2014

DSTV TANZANIA YATOA OFFER TSH 99000/=

 
Kwa wateja wapya hii ni habari njema kwako,ambapo sasa unaweza kuunganishwa kwa tsh 99000 tu!
Hii inaanza leo tarehe 1/10/2014 mpaka kuisha kwa strock ya offer!
Kukurahisishia unaweza ukalipia gharama ya usafiri kutokana na umbali uliopo kisha huma ikakufata ulipo!
Ili upate huduma hii piga +255789476655
mustaphamadish@gmail.com

Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

4 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Nasikia ukilipa pesa hiyo unapata na package ya bomba ni kweli mkuu

Anonymous said...

vipi mikoani hii offer

Anonymous said...

Lydiawangese@ymail.com

Anonymous said...

Sasa hii 99,000 ndio pekee ntalipia nipate kuunganishwa?