Oct 12, 2014

Swali?
Je unahitaji urahisi wa kulipa malipo ya mwezi ama kununua..!?
Limekuwa kama tatizo hivi kwa nchi yetu toka lilipokuja swala la udigital kuingia na kulazimika kila aliye Tanzania ili uangalie tv ni lazima king'amuzi kihusike!
Issue inakuwa hapa kuhusu king'amuzi!!
Kipi ni bei rahisi na kizuri kinachomfaa mtanzania na hata asiye mtanzania kwa ujumla!
Kipi ni king'amuzi bei rahisi swali la jibu hilo unaweza ukawa nalo wewe ila mimi wajibu wangu ni kukuletea bei za ving'amuzi vyote kisha wewe ndio mchaguzi kutokana na kipato chako na upenzi wa channel kwa king'amuzi husika..
DSTV TSH 99,000/= BEI YA OFFER BILA UFUNDI.
BEI YA SASA DSTV Bofya hapa
Hii sio bei ya siku zote,bei hii ni maalum kwa offer tu na pindi offer itakapoisha bei kamili nitawaletea!
 Baada ya hapo unachagua kifurushi ili ulipie uweze kuona Bofya hapa
Angalizo:Malipo ya mwezi yanapanda ama kupungua kutokana na dollar.

ZUKU TV TSH 75000/= BILA UFUNDI
Ambapo ukinunua unapata na mwezi mmoja bure!
 Baada ya mwezi wa offer kuisha unachagua kifurushi ili uendelee kuona Bofya hapa

AZAM TV TSH 135000/=
BEI YA SASA AZAM TV 

Kwasasa bei ya Azam tv ni tsh 135000 bila kufungiwa wala kifurushi.
Kufungiwa ni tsh 30,000/=
Vifurushi ni:- Bofya hapa

STARTIMES TSH DISH
STARTIMES TSH  ANTENNA
Hivi karibuni kimeanza cha dish,lakini hii haina maana kuwa cha antenna hakifanyi kazi kipo kama kawaida.
Vifurushi vya startimes ni:- Bofya hapa

DIGITEK TSH
Hii haina malipo ya mwezi ukinunua inakuwa ndio umenunua!
Lakini kutoka hapa kwangu na mtazamo wangu nitakuja kuzungumza kuhusu ving'amuzi visivyokuwa na malipo ya mwezi.

CONTINENTAL TSH 145000/=
Hiki nacho hakina malipo ya mwezi ukinunua umenunua.
Kujua channel zilizopo Bofya hapa

EASY TV TSH
Hiki kwa mwezi ni tsh 10,000/=

TING TSH 125000 DISH
 Tsh 20000/= ch100

TING TSH 60000 ANTENNA 
Vifurushi tsh 8000/= ch18+
16000 ch40+

Post hii itaboreshwa......

+ 255 789 47 66 55
9:40 AM   Posted by Mustapha Hanya with 5 comments

5 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Easy tv ndicho rahisi mi naona

Anonymous said...

This is my first time pay a quick visit at here and i am really pleassant to read
all at alone place.

Feel free to visit my blog ... reklamy

Anonymous said...

Update 2016

Dicky Mweh said...

mkuu mimi nina king'amuzi cha Digitek ila nashangaa sikuizi inawezaa kaa hata wiki bila kunasa chanel,

nikiangalia update inasema ili updatiwa 2013, software version 1.04, so tatizo nini mpaka isiwe inanasa

0717457126

kaama unamda naomba tuwasiliane

steven makoi said...

Nahitaji king'amuzi cha bei rahisi lkn chenye radio station za ndani ya nchi

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search