Oct 16, 2014


Hatimae marejeo yamekuwa mazuri,ambapo sasa macho ya watanzania na wadau wa ving'amuzi kwa ujumla yameelekezwa kwa Digitek kuona yakuwa nao watatoa dish baada ya Continental kutoa Dish!
Hii inamaanisha leo ukihitaji king'amuzi cha Continental nitakachokuuliza cha kwanza..
unataka Continental ya Antenna ama ya Dish..
kisha mengine yanafata..

8 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Hii inakuwa bei gani!?

Anonymous said...

Mkuu tumekupata ilaa hii inakuwa bei gani na je channel ndo zile zile!?

Anonymous said...

Hii nayo haina malipo ya mwezi!?
Bei gani kwani?

Anonymous said...

Hawa ndo hakuna kitu kabisa nafuu hata ya star times

Anonymous said...

Hakuna kitu hapo

Anonymous said...

Mnaongeza hizo chanell mpya lini

Anonymous said...

CHANELY ZA MPIRA, HAPO KUNANI???

Matulu Mgelwa said...

Mmmh

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search