Nov 19, 2014


Hii maana yake Multichoice Tanzania ( DStv ) imekusudia kila mtu apate kilicho bora kwa bei nafuu na kwa wakati !
Kwa sasa ili umiliki Decoder ya Explora sio lazima mfuko wako uwe umetuuuna la!
Kwa Tsh 281,000 tu unapata Decoder yako ya Explora!
Unazijua sifa za Explora wewe!?PIGA SIMU +255789476655 | YOTE KUHUSU DSTV
3:56 AM   Posted by Mustapha Hanya in , , , with 6 comments

6 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Hii inakuwa na malipo ya mwezi mkuu!?

Anonymous said...

BADO MPO JUU LABDA INGEKUWA NA MALIPO YA MWEZI HAPO

Anonymous said...

Kwa sasa Offer inaendaje hii bei boss?

Hidden Talent said...

Habari Mustapha naweza kununua decoder pekee ukiwa niko na dishi la startimes? Na kunganisha na decoder dstv ?

Anonymous said...

HABARI MUSTAPHA HIVI UKITAKA KUBADILISHA BANDO INAKUAJE MAAANA NILIKUA NALIPIA KILE CHA GHARAM HALI NGUMU UNAWEZA NIAM,BIA JINSI YA KUBADILISHA NATAKA CHA BEI YA KATI NAZOWEZA KUWATCH NIGERIA MOVIE

Mnongane Omary said...

Natak kujua Kama Dikoda ya dstv natak explora Natakiw nifanya

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search