Nov 23, 2014

OFFER YA STARTIMES TSH 59000/=


Tarehe 24/11/2014 rasmi offer inaanza kwa wateja wote wapya!
Hii inakuwa inajumuisha na malipo ya mwezi mmoja!
Swai ambalo ungetamani kuniuliza ni je Startimes hiyo ni ya Dish ama Antenna!
Jibu ni kwamba hii ni offer kwa Startimes ya Antenna!
Wakati ni wako kuchangamkia hii offer

YOTE KUHUSU STARTIMES | PIGA +255789476655
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

5 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Waondoe vivurushi ndpo nitaingia starz

Anonymous said...

Hii ingelikuwana ya dish bwana hata mimi ningenunua huwezi kuwa digital kwa antenna!

Anonymous said...

NILIKUPGIA LAKINI NAONA TUMESHINDWA KUSIKILIZANA VIZURI NATAKA HII MI NIPO BUKOBA MTAWEZA NITUMIA?

Hekima Chumi said...

Jamani Iringa linStartz?

Anonymous said...

Startimes hawafai kabisa hovyo ndugu zangu ni, tuna wiki mbili wateja wa moshi mitambo Yao imekata, hatuoni chochote, hii ni kwa wale wanaotumia antenna, ukienda kwenye ofis zao majibu ni machafu kabisa