Nov 14, 2014


Maswali yamekuwa meengi mkitaka kujua cable tv inafanyaje kazi na huku wengine mkitaka kujua namna ya kuanzisha cable tv zenu huku mkitoa ushuhuda jinsi zilivyo na wapenzi hasa mikoani kwakuwa ni rahisi sana tofauti na huduma nyengine za ving'amuzi...!!
Je kweli ni rahisi!?
Je unaweza ukaanzisha cable tv yako??
Unajua cable tv ni nini?
Nipo hapa kukujuza yote yanayohusu mambo ya tv channels,hivyo ni jukumu lako kuuliza na hata kutoa maoni yako...
Nitazungumzia CABLE TV kinagaubaga lakini naomba iwe ahadi isiwe leo,ambacho unapaswa kufanya ni kufatana nami ili usipitwe na kapost hicho hiyo siku ikifika!
JIFUNZE KUHUSU VING'AMUZI | PATA HABARI | PATA HUDUMA BORA

11:20 AM   Posted by Mustapha Hanya with 4 comments

4 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Kaka tujuze nangoja kwa hamu hii mada

Anonymous said...

Fanya hivyo mkuu sisi hatupo mbali ni hapa tu TA waja leo waondoka leo

Anonymous said...

Lini mada hii?

Anonymous said...

Fanya hivyo mkuu!
Na naomba uzungumzie tofauti ya madish makubwa na madogo la nyavu na la bati

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search