Nov 3, 2014

Nilichogundua ni kwamba nina wadau wengi sana ambao haipiti siku bila kutembelea haka kablog chetu na kupata mawili matatu kuhusu ukanda huu..
Wengi mnataka kujua habari za ving'amuzi na huduma kwa ujumla..
Ufumbuzi wa ving'amuzi vyote upo kwenye haka kablog,maana yake ukishindwa kuelewa simu inahusika,ukipiga tu jua shida yako imeisha!


KWA KUWAJALI WATU WANGU...
Nimeanzisha huduma ambayo haikupi usumbufu na ni rahisi kwako!
Natekeleza maana ya huduma mtandaoni,kama tujuavyo huu ni wakati wa Digital hivyo lazima twende kidigital zaidi...
Swali unapenda/unataka king'amuzi gani kati ya hivi:-
DStv/Azam tv/Digitek/Continental/Zuku tv/Star times.
Piga simu sema unataka kipi,tunakupa ushauri na kisha utaletewa mpaka ulipo
Tukifika unalipia na kufungiwa papo hapo!
Ila hii ni kwa wakazi wa Dar es salaam tu!
Piga sasa +255789476655
TUMEBOBEA KUFUNGA KWENYE:-
HOTEL/APARTMENT/MAOFISINI NA MAJUMBANI.
BAADHI YA WALIONUFAIKA NA HUDUMA ZA MUSTAPHA MADISH:-
TRANSIT MOTEL/JB BELMONT/GERRAFE VIEW HOTEL/IKULU-OFFICE YA WAZIRI MKUU/PSPF/BAHARI BEACH LODGE/N.K.
12:56 PM   Posted by Mustapha Hanya in , , , , , , , with 13 comments

13 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Mkuu nahitaji hii huduma yako niko maping bagamoyo inaweza nifikia!?

Anonymous said...

Hii nimeipenda sana na nilikuwa sijafikiria kama naweza nunua online na kusubiri huduma nyumbani big up kijana Tanzania yetu inahitaji vijana kama wewe wabunifu na wachapa kazi

Anonymous said...

Jana nami nimefanikiwa kupata hii huduma ambayo awali nilidhani ni magumashi tu ya wabongo kumbe Tanzania tunaweza kwenda na wakati tuliopo kwa vitendo.
Big up Mustapha madishi

Anonymous said...

Unachelewa kuwasha simu yako mkuu!

Anonymous said...

Weka time ya kazi unaanza huduma saa ngapi na kumaliza saa ngapi ili tujue

Anonymous said...

mkuu nimefungiwa kingamuzi cha continental kinachotumia dish ila napata chanel za nje tu local hakuna hata moja nn tatizo nipo Geita mjini msaada tafadhari

Mustapha MaDish said...

Pole sana mdau!
Kiukweli Continental bado wana tatizo kidogo kuhusu channels zao,huwa zinakuja na kupotea...
Tatizo ambalo lipo wahusika wanalifanyia kazi kwa uzuri tu na karibu huduma zitarejea kwa ubora stahiki!

Mustapha MaDish said...
This comment has been removed by the author.
Mustapha MaDish said...

Sisi tumeweza,tunashukuru sana na karibu tena!

Mustapha MaDish said...

Ahsante sana na karibu tena!

Mustapha MaDish said...

Pole mdau wetu!
Huduma zinaanza saa 08:00 Asubuhi mpaka saa 20:00 usiku jumatatu-jumamosi,jumapili ni kuanzia saa 09:00 asubuhi-saa 18:00 jioni.
Karibu.

Mustapha MaDish said...

Mapinga huduma zetu zinaweza kukufikia bila shida la msingi ni wewe kupiga simu +255789476655

Anonymous said...

Nimependa service zako!
Thanks

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search