Dec 2, 2014


Hapa ilikwisha fungwa Digitek muda tu ila kutokana na ujenzi wa kupanisha ghorofa mbili zaidi iliwalazimu kuitoa Antenna ilipofungwa awali na kungoja mpaka ujenzi umalizike ili itafutwe pa kufunga tena ili burudani iendelee kama ilivyo awali!
Safari hii wala sikuiweka juu kabisa kama ilivyo awali,tukafanya ya kufanya wazungu wa Digitek wakarudi kisha tukachapa mwendo!

INSTALLATION OF TV SYSTEM | IN OFFICE | IN HOTEL | +255789476655
12:30 AM   Posted by Mustapha Hanya with 1 comment

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Nilikuwa na startimes ya antenna sasa nataka ya dish je ni lazima kununua complete ama itanilazimu kununua dish tu?
Msaada mkuu

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search