Call / WhatsApp +255673378129

Jan 30, 2014

AZAM TV UNAWEZA KUONA TV ZAIDI YA 1!!


Swali ambalo wengi wamekuwa wakiniuliza lakini jibu huwa nawaambia unaweza kuona kwa tv moja tu na ndivyo ilivyotengenezwa ila kwakuwa uwanja ni wetu hakuna linaloshindikana!!
Yap unaweza kutumia Decoder ya Azam tv moja ukaona tv zaidi ya 10 na zote zikiwa saaafi isipokuwa ukibadili zote zinabadilika!
Unawezaje kupata huduma hii!!??
+255789476655/659161111
mustaphamadish@gmail.com
Morogoro rd,Magomeni Mapipa
Yote kuhusu ving'amuzi check nasi!
Share:

Jan 28, 2014

DSTV EXTRA VIEW


 DSTV EXTRA VIEW bado inaendelea kufanya vizuri sana!!
Labda kwa wale wasiojua huduma ya DSTV EXTRA VIEW ni kwamba unakuwa na A/C moja ila Decoder mbili ambapo unaweza kutumia kwa tv mbili kila mtu na channel yake na malipo ya mwezi inazidi 16000 kwa Package yeyote utakayoitaka!

 Hapa EXTRA VIEW ndani!

 Mbeza hapa Tumeshauza!
+255789476655
Share:

Jan 26, 2014

DSTV COMPACT PLUS PACKAGE | CHANNELS 90+ | TSH 109,000

Zijue Channel zilizo kwenye kifurushi cha DStv Compact Plus


FTA

KBC
CITIZEN
TBC
STAR TV
CHANNEL 10
ITV
Clouds Tv
KTN News
K24
Bukedde Tv
WBS
NBS Tv
e Tv Africa
Dish



MICHEZO


SuperSport Blitz
SuperSport Select1
SuperSport 2Select
SuperSport 3
SuperSport 5
SuperSport 7
SuperSport 9
SuperSport 9 East
SuperSport HD 11
SuperSport HD 12


SINEMA

Movie Zone
VUZU
Universal Channel
True Movies
Studio Universal HD
Africa Magic Epic Movies
Africa Magic Hausa
Africa Magic Yoruba
Africa Magic Lgbo
Africa Magic East
Africa Magic Urban
Maisha Magic BONGO
M-Net Movies All Stars
M-Net City
M-Net Family
M-Net Movie Action
Africa Magic Family
TCM
 


BURUDANI

Telemundo
E!
CBS Reality
CBS Action
CBS Drama
AMC
Vox Africa
TVC E
Sony Entertainment
Sony Max
BBC Brit
FOX
BET
MTV
Ebony Life Tv
EVA


HABARI NA MAELEZO

BBC World
Al Jazeera
CNBC Africa
Bloomberg Tv
CNC World
SABC News
CCTV News
CNN Intarnational
SKY News


 MAKALA

National Geo Wild
Discovery Family
ED
Spice Tv
National Geo
Discover IDX
Trace Sports


MAISHA

Fashion One
Discover TLC
BBC Lifestyle
Food Network


DINI

One Gospel
TBN
Daystar
Islamic channel
EWTN
Inspration TV
Kingdom Africa
Dove Tv
Emanuel Tv
FAITH


MUZIKI

Hip Tv
Sound city
AFRO Music English
Trace Music

WATOTO

Nickelodeon
Disney Junior
Disney Channel
Disney XD
Cbeebies
Nickjr
Nick Toons
JimJam
Mindset Learn
Boomerang
Cartoon Network


KIMATAIFA

Zee World
NDTV 24*7
RAI International
TV5 Monde Afrique
 CCTV 4
CCTV Documentary
CCTV French
CCTV Entertainment
China Movie Channel
Shanghai Dragon Tv
Hunan Tv
Jiantsu Channel
Phoenix News Ent
RTPI
TV Mundal

RADIO

Over 40 Channels

JINSI YA KUHAMA KIFURUSHI Bofya Hapa
KUPATA MAFUNDI WA DSTV Bofya Hapa
VIFURUSHI VYA DSTV Bofya Hapa  
KUJUA BEI NA KUNUNUA DSTV Bofya Hapa 
Kwa Maelezo Zaidi +255789476655
Share:

Jan 24, 2014

LINAPOPITA LA KUCHEKESHA.......!!

Lazima kucheka ili siku ziongezeke!!
Ila mengine kiukweli yanamaudhi kupitiliza,tukiacha kibinafsi pia kikazi maana kazi yangu inahusisha watu wa aina tofauti kwa kipato,jinsia na hata uwezo wa uelewa kama si kufikiri!
Nianze na issue ya wale wateja wangu wanaopiga simu usiku ama asubuhi sana,nimewahi kupokea simu usiku wa saa 5,6,8 na kukuta miss call ya saa 10 alfajiri na baada ya kupiga mtu anakuuliza kuhusu Madish!
Kweli jamani! hata kama ni biashara tunawezaje kufanya kwa muda huo!
Na hao wote ambao wanapiga muda huo hakuna aliyenipigia mchana baada ya kumuelekeza afanye hivyo labda awe ametumia no.yengine tofauti na ile ya usiku!
Ingawaje sikuwa nimeweka muda wa kazi itanilazimu kufanya hivyo ili alau kwa ndugu zangu wale usiku kwao mchana wapate elewa!

Mustapha Hanya a.k.a Baba Fetty
Share:

Jan 21, 2014

DSTV TSH 149000/=

Offer inaendelea!!!
Full Installation- Tsh 149000/=
Unapata Dish,Decoder,Cable na Kufungiwa!
Baada ya hapo unachagua Package uipendayo kati ya zifuatazo:-
ACCESS-Tsh 16500/=
FAMILY-Tsh 33,000/=
COMPACT-Tsh 53000/=
COMPACT PLUS-Tsh 85,000/=
PREMIUM-Tsh 135,000/=
BEI MPYA YA VIFURUSHI Bofya Hapa

CONTACT
Office:+255789476655
Mobile:+255659161111

Yote yanayohusu DSTV hapa ndipo penyewe!
Share:

OFFICE ZA TUCTA TUMEMALIZA KUFUNGA DSTV NA FLAT SCREEN!

Mwendo ni ule ule kazi nzuri ndo sababu ya kutufanya tunapata tenda zaidi kwa maana wateja zetu ndio mabango ya matangazo ya kazi zetu!
Office za TUCTA pale mnazi mmoja,siku ya kwanza nilienda kukagua kazi



Hapa nishakagua kazi siku ya kwanza.
Siku ya pili nikaingia mzigoni na CREW yangu kazi kazini!

Tukiwa juu mjengoni!
Juu tulipomaliza tukahamia ndani,sehemu ya kwanza ni katika chumba cha mikutano!

 Ukumbi wa mkutano kabla hatujafanya yetu

 Kazi imeanza..

Tunapanda kwa umakini wote

Mtaalamu Baso akitoa TV kwa Box

Mzigo ndo huu!



Pima pima zikiendelea

Hapo....!!

 Flat screen kuelekea kupima

Vipimo vikiendelea

TV bracket tayari kwa ukuta

Maelekezo yakiendelea

Chumba cha mkutano tumeshauza
Tukahamia vyumba vyengine mwendo ule ule,tukizingatia kazi safi na bora!


Baba yake na Fetty huyu!

Mzee wa Nyembe!

.........!!!

Kazi imekamilika

Chimpo!!

Mustapha MaDish

Macho yako yanasemaje

huyu ndo kafunga kazi!
Tumemaliza kufanya yetu tuliyoagizwa kufanya hapa!
Kama nawe unataka CREW hii ipendezeshe office yako/Hotel yako/Nyumbani kwako ama popote ni rahisi sana kutupata!
Tupo Morogoro rd,Magomeni Mapipa.
Office:+255789476655
Mobile:+255659161111
Popote ulipo nasi tupo na wewe!!
Yote yanayohusiana naving'amuzi vyote uvijuavyo tutembelee!!
Share:

Jan 18, 2014

OFFICE ZA TUCTA CREW IMEKAMILIKA HAPA!

Wanamwita Dume la Mamba!

Elias hapa a.k.a Driller!

Baba Fetty tena!

Dume la Pelege huyu wakujiita Chimpo!

 Mustapha MaDish!

 Wazee wa Kazi!

Hapa kazi tu!





...... na Baso!



Cable master,Mzee wa Bomba,Master signal,kiraka na AV cable wakiwa wamekula pooozi!!

 Hapa kazi tuu hizi picha mbwembwe tu!

 Cable Master na Mzee wa Bomba!

 Master signal na Kiraka

 Kiraka na AV Cable!

AV cable a.k.a Chimpo a.k.a Dume la Pelege!
Kazi inaendelea,wakati mwengine tena itakapokamilika tutaonana tena kumalizia ya TUCTA.....!
Share:

Jan 8, 2014

BEI YA AZAM TV BURUDANI KWA WOTE


Hivi karibuni nilipokea simu ilinisikitisha sana kuhusu bei wanazouziwa watu hasa mikoani king'amuzi cha Azam tv na cha kushangaza zaidi hata hapa Dar kuna baadhi ya wakala wanauza bei juu tofauti na utaratibu uliowekwa,nilichogundua ni kwamba wengi wameingia kwenye hii biashara pasi kuijua vizuri wanachofanya wao ni kuuza tu lakini ufundi ni juu ya mteja mwenyewe matokeo yake mteja ananunua king'amuzi lakini anafungiwa baada ya wiki 1/2 mpaka 3 kwa kukosa fundi!
Simu toka Ruvuma niliambiwa wanauziwa 180000/= bila malipo ya mwezi bila ya kufungiwa!
Mwanza wanauziwa 160000/= bila malipo ya mwezi na bila ya kufungiwa!

Dar kuna kuna mtu aliuziwa 160000 full installation na malipo ya mwezi mmoja!

Na kwengineko nadhani haya yanatokea sana tu na kilichonifanya leo niweke post hii ni hii bei ya Ruvuma!!!
Sababu ya kila mtu kujiamulia bei anayotaka yeye ni kutokana na wauzaji kutokuwa wakala,hivyo ili nae apate faidi ananunua kwa wakala then anauza nae kwakuwa ndo msimu wa kupata pesa hasa kupitia Azam tv kuikweli mnatuharibia wenye kazi zetu,binafsi napenda sana tuwe wengi ili mnipe changamoto niweze kuwa mbunifu zaidi katika kazi yangu lakini hamuwezi mkanipa changamoto kiubabaishaji na kuibia watu namna hiyo!!
BEI YA AZAM TV NI 135000/=

Unapata Vifaa vyote!! Hii bila ya ufundi wala kifurushi.
UKITAKA KUJUA BEI ZA VIFURUSHI VYA AZAM TV BOFYA HAPA
PIGA +255789476655


Share:

Jan 1, 2014

TAREHE 1/1/2014 KIBAHA KONGOWE

Leo ni siku ya mapumziko baada ya kuzitafuta mwaka mzima!
Kwakuwa madish ndio yaliyoleta muunganiko wa issue zangu nyingi hivyo kupumzika bila kuzungumzia ama kugusa kadish hata kamoja itakuwa uongo maana nnachokikubali zaidi kwasasa ni madish na ndo sababu ya kufanya nifanye vizuri zaidi!
Ndugu yangu toka Kibaha alichukua Azam tv kama wiki mbili nyuma,ikawa imebaki kufungiwa tu,akapata safari na akarejea tarehe 31/12/2013 akanicheck kuwa amerudi!!
Kuthamini uwepo wake ukiacha undugu pia ni mteja wetu nikaona nitumie siku hii ya mapumziko kumtembelea na kutekeleza wajibu!!


nilipofika sikumkuta n baada ya muda alirejea,tukapiga story mbili tatu mpaka saa 1 kasoro usiku ndipo nikaanza kazi mpaka saa 2 na nusu NIKACHAPA MWENDO!
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita