Apr 9, 2015

Ikiwa wadau wapo katika kulala na kuomba angalau gharama za malipo ya mwezi zipungua,hali imekuwa tofauti kutokana na gharama za uendeshaji ambapo imepelekea kupanda kwa bei za malipo ya mwezi kwa vifushi vyote vya Dstv kama ifuatavyo:-

BOMBA PACKAGE 
Awali ilkuwa tsh 18,500
Ikabadilika na kuwa tsh 23,500
Ikabadilika tena na kuwa tsh 19,975
Ambapo sasa hii 2017 ni  Tsh 19,000
ukitaka kujua idadi na channel zilizopo Bofya Hapa

FAMILY PACKAGE
Awali ilkuwa tsh 40,000
Ikabadilika na kuwa  ths 51,000
Ikabadilika tena na kuwa tsh 42,900
Ambapo sasa hii 2017 ni  Tsh 39,000
ukitaka kujua idadi na channel zilizopo Bofya Hapa

COMPACT PACKAGE
 Awali ilkuwa tsh 66,000
Ikabadilika na kuwa  ths 84,500
Ikabadilika tena na kuwa tsh 82,250
Ambapo sasa hii 2017 ni  Tsh 69,000
kitaka kujua idadi na channel zilizopo Bofya Hapa

COMPACT PLUS PACKAGE
Awali ilkuwa tsh 113,000
Ikabadilika na kuwa  ths 147,000
Ikabadilika tena na kuwa tsh 122,500
Ambapo sasa hii 2017 ni  Tsh 109,000
ukitaka kujua idadi na channel zilizopo Bofya Hapa

PREMIUM PACKAGE
Awali ilkuwa tsh 199,000
Ikabadilika na kuwa  ths 219,000
Ikabadilika tena na kuwa tsh 184,000
Ambapo sasa hii 2017 ni  Tsh 169,000
ukitaka kujua idadi na channel zilizopo Bofya Hapa


HUDUMA ZA DSTV | MSAADA KIUFUNDI | +255789476655

9 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Ninyi dstv kila kukicha mnapandisha mabei maana yake nini?

mapunda calvin said...

Dstv mnaboa bana.. daily bei inapanda wakati ving'amuz vungine wanashusha bei..

Anonymous said...

bie zmezdi jaman tatizo nin

Anonymous said...

cialis generique cialis prix
cialis generique cialis pas cher
cialis cialis
costo cialis generico cialis

Anonymous said...

cialis prezzo cialis

Anonymous said...

Pricing strategy is not friendly to users. U better look at it.

Anonymous said...

cialis sin receta cialis generico

Nadhiru Saidi said...

Commercial package (for business) price yake ikoje?

Unknown said...

Hii ya 82500 mbona haipungui kama zingine mmepunguza kidogo halafu pia mnaminya Chanel za mpira hapa

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search