Apr 17, 2015

CONTINENTAL DECODER | CHANNEL ZILIZOPO


Idadi sahihi ya channel za continental:-

Star tv
Star e+
Star bunge
Star Movies+
Morning Star tv
 Star Muzik
Afro Culture
ITV
EATV
TBC
Channel 10
Citizen
DW
France24
Clouds tv
VOA tv
BBC World
CCTV 9
CCTV News
NHK
Qtv
Ntv
HOPE
emmanuel tv
Africa tv
Aljazeera
 
Kujua aina ya decoder za Continental bofya hapa
Jumla ya channel ni 26 ambazo ni mali ya Continentali ijapokuwa bado maboresho yanaendelea,tukija kiufundi unaweza ukaongeza channel zaidi na kufikisha idadi ya channel zaidi ya 80.
UNATATIZO LA KING'AMUZI CHAKO CHA CONTINENTAL?
+255789476655


Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

6 Unasemaje..??:

mesoiah said...

ningependa kufahamu gharama za installation ya continental decoder kwa moshi mjini

Robert Londo said...

Kaka mimi huwa kinakatakata picha na sauti baada ya siku kadhaa halafu kunatulia chenyewe, signal quality ni ya kuridhisha muda wote, tatizo ni nini hapo

Muhidini Amsha said...

EBWANA KIJISAJILI KWA MKOA WA RUKWA WAKALA ANAPATIKANA WAPI HAPA?


Anonymous said...

Kaka mim nashda na pcha ya remote ya continetal kwamana yang imefutka remote ang ni ya zile cable za kwnza kwanza kutoka

Anonymous said...

[url=http://buy-pillsviagra.org/]buy-pillsviagra.org.ankor[/url] priceslevitra-generic.com.ankor http://onlinewithoutprescriptionpropecia.net/

Anonymous said...

[url=http://buy-pillsviagra.org/]buy-pillsviagra.org.ankor[/url] priceslevitra-generic.com.ankor http://onlinewithoutprescriptionpropecia.net/