May 1, 2015

Awali ilikuwa ili kupata Star tv kwenye king'amuzi cha Azam ilikuwa ni fundi na ufundi wetu tu,kwani ilikuwa tunafunga satellite mbili kwa wakati mmoja ila baadae wenye mali yao hapo Satellite ya Amos 5 wakafanya ya kufanya.
Baada ya vuta nikuvute hatimae sasa Star tv imeungana na Azam tv,hivyo jambo hili limepelekea kila mmiliki wa king'amuzi cha Azam alipokee kwa furaha,huku wale ambao walikuwa wanasita kujiunga na Azam kwasababu hakuna Star tv huu ndo wakati wenu labda mseme lengine.

+255789476655 | HUDUMA ZA AZAM TV
12:04 AM   Posted by Mustapha Hanya with 1 comment

1 Unasemaje..??:

daudi shabani said...

Kwa nini u kiscan king'amuzi cha ting kinaingiliana NA continental NA za continental zinakatakat

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search