Jun 16, 2015


Burudani kwa wote..
Kwa mujibu wa Azam tv bei za vifurushi zimepanda kutokana na ungezeko la kodi,
hivyo kile kifurushi cha tsh 10,000/= kimekuwa tsh 12,000/=
kifurushi cha 15,000/= kimekuwa tsh 20,000/=
na kifurushi cha 20,000/= kimekuwa tsh 30,000/=
Pia siku za usoni kinakuja kifurushi kipya ambacho kitakuwa na channels za india tu,
hivyo ili uzione channel za india itakulazimu ulipie kifurushi hicho kipya lakini kwa kipindi hiki ni bure mpaka hapo ambapo itatangazwa.
Kujua channel zilizopo Bofya Hapa
Mambo yote ya kiufundi Azam tv piga : +255789476655

12:09 AM   Posted by Mustapha Hanya with 6 comments

6 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Kweli Azam wameamua kutukatili.

Anonymous said...

Nimelipia Azamtv yangu ila bado sioni kitu kwenye tv yangu inaonyesha 'no signal!', nifanye nini?

Anonymous said...

Tunapoelekea hawa jamaa watakuwa kama dstv sie tupo hapa!

Khalifa Athumani said...

Ntaamia dstv soon maana nyinyi kila channel na being yake

Anonymous said...

Yaani siamini juzjuzi tu rafikiyangu kanipa dish la Azam kama zawadi nakunipa sifa zote, nashukuru mungu kingamuzi changu cha Startime sijakigawa ningeumbuka yaani kumbe Azam kama DSTV uwezi ona chanel hata za bongo mpaka ulipie,hongereni kumbe mpo kibiashara zaidi , hapajaharibika kitu nikizikamata ntalipia kwani bado nakihitaki king amuzi chenu

Edwin Vedasto said...

Azam asee wamekata zote bola ya zuku

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search