Jul 18, 2015Je blog yetu imekusaidia kwa kiasi fulani,kwa kukupatia maelezo kwa wakati na kwa kina kuhusu ving'amuzi bila kuchagua ama je blog yetu imekusaidia kukuwezesha kupata huduma ya kununua na kufungiwa king'amuzi kwa wakati? Ama imekusaidia kupata mafundi wa kukufungia king'amuzi chako kwa ubora stahiki!
Una maoni yeyote ili tu tuweze kufanya vizuri zaidi ama una la kutukosoa pale tulipoteleza!?
Tupo hapa kupokea yote bila kubagua lolote kwetu ni msaada wa kutufikisha tunapofikiri!
Swali langu je upo FACEBOOK !? kama ndivyo Bofaya Hapa kisha like page yetu ili uweze kuwa miongoni mwa wadau wetu watakaopata chochote kipya kuhusu king'amuzi kwa wakati ama pia waweza kutuandikia chochote na tukakifanyia kazi kwa wakati hata kama haitakuwa umepiga simu.

1:14 PM   Posted by Mustapha Hanya with No comments

0 Unasemaje..??:

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search