Aug 13, 2015


Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha azam sports HD:-
Kuna jumla ya channel 4 kwa sasa 
  1. Azam sports HD
  2. Liverpool tv
  3. Real Madrid tv
  4. Manchester tv 

1:13 AM   Posted by Mustapha Hanya with 8 comments

8 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Kwanini imekuwa ni lazima ulipie na kingne

Anonymous said...

Naweza kulipia jumla azam plus na azam sports? Au separate?

abe2015 said...

Ongezeni na chanel ya basketball humu jamani kama TNT au NBA TV mtaongeza wateja wengi sana

Anonymous said...

Tunaomba mtuletee channel ya CHELSEA TV

Benson Revocatus said...

Dah! mbona xaxa nouma

said jeremiah said...

hizo channel za bure za kibongo na hizo za sport malipo yake yanaunganishwa vp kwa mwezi?

Ally Mbaga said...

Tunaomba hizi chanel za LOCAL zibaki kuwa free kama mwanzo.

Ally Mbaga said...

Tunaomba hizi chanel za LOCAL zibaki kuwa free kama mwanzo.

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search