Call / WhatsApp +255673378129

Aug 31, 2015

SPORT PLUS | TSH 14,000

Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha ziada cha Sport plus:-
Kuna channel 4!



SPORT ARENA
SPORT PREMIUM
SPORT LIFE
WORLD FOOTBALL


MSAADA KIUFUNDI |USHAURI | CHOCHOTE KUHUSU STARTIMES | +255789476655
Share:

8 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Chanel zimejifuta zipo chache hata nik search haziji nifanyaje? pleaded

Anonymous said...

nunua dstv

Unknown said...

Mbona maswali yaliyoulizwa yote hayana majibu? Mnatukatisha tamaa ya kuuliza!

Unknown said...

Mbona maswali yote yaliyoulizwa hayajajibiwa? Mnatukatisha tamaa ya kuuliza!

Unknown said...

Naitaj kifurushi kitakacho kuwa na Chanel za kuonyesha kombe la dunia

Unknown said...

Ni ligi na mashindano gan yanayooneshwa ama yatakayokuwa yanaoneshwa na starTimes baada ya kombe la dunia?

Unknown said...

Mwisho wangu wa kulipia STARTIMES ni mwezi huu baada ya ku Pandisha bei na kuondoa channels muhimu nilizokuwa nazipata na zinapatikana kwenye ving'amuzi vingine nilivyo navyo! Kwa kifurushi kilichokuwa 19,800/= (ambacho sasa 21,500/=) wameondoa MSNBC,BLOOMBERG TV, DISCOVERY,ID,VIASAT H+L n.k. Kwa heri, sasa narudi nilipokuwa. You have outlived your usefulness to me thank you! +255625956581.

Unknown said...

Nicomment nn wakati post zingine hazijibiwi?

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita