Sep 29, 2015Utatumia king'amuzi gani!!?? Swali la kwanza ambalo naweza kukuuliza..
Najua kwa mapenzi ya king'amuzi ulichokichagua na kukinunua ukiachilia mapenzi yako ila umehitaji kuona na Local Channel maana yake uone mambo yanayoendelea nyumbani kwako ikiwemo taarifa ya habari.
Hivi unajua kama channel hizo zinatakiwa kuwa bure hata kama hujalipia malipo ya mwezi?
Pengine huzijui channel ninazozizungumzia hapa baadhi ni hizi :-
  • ITV
  • TBC
  • CLOUDS TV
  • CHANNEL 10
  • STAR TV
  • TV 1 
Je king'amuzi unachotumia salio likiisha zinabaki channel hizo!!??

8:03 AM   Posted by Mustapha Hanya in , , , , , , with 5 comments

5 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Mkuu mimi natumia king'azi cha dstv kuna local 4 startv,tbc,itv na channel 10 ila linapokata salio mkuu hakuna inayobaki kati ya hizo sasa unatusaidiaje!?

Immanuel Mwasenga said...

Hawa jamaa wanazuga tu dstv hamna channel huwa inabaki ya ndani Salio likikata

Anonymous said...

hata mimi local chanel zinakata muda wa kifushushi ukiishamalizika

Pastor Pk said...

Mim natumia continental lakin Salio likikata hakuna local channel inayoonyesha....nataman nihamie kwingine

shaban sued said...

Startimes mnazingua hakuna chanel inayobaki kila nikiwapigia wanasema kuna tatizo wanarekebisha kumbe uongo mtupu

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search