Call / WhatsApp +255673378129

Sep 6, 2015

KIFURUSHI CHA NYOTA TSH 9,000 | TSH 11,000

Kifurushi hichi kinapatikana kwenye kisimbuzi cha Dish na Anntena, ambapo kwenye Dish ni Tsh 11,000 na kwenye Antenna ni Tsh 9,000
Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha Nyota:-
Kuna zaidi ya channel 30!

Channels za Dish:-
Filamu na Tamthilia
ST Zone
AMC Movies

Burudani
ST Kung fu
Startimes Real Time
E. Tv

Burudani za Kiafrika
St Dadin Kowa
TBC2
NTV Uga.
NBS
Silverbird
E Stars
ST Swahili

Michezo
ST Sports Focus

Habari
CGTN
TVC News
CNC World
NTA News 24
CGTN F
CCTV 4
Telesur Africa

Makala
 Safari tv
CGTN Doc.

Watoto
Smile of a child
Da Vinci
Mindset Learn

Chaneli za Nyumbani
 TBC
Clouds Tv
EATv
ITV
CHANNEL 10
STAR TV
TV E

Dini
St Gospel
Madani Channel
Tumaini Tv
Dove Tv
Iqraa
Upendo Tv

Muziki
Clouds Tv
Wasafi Tv

Chaneli za kwenye Kisimbuzi cha Antenna:-
Filamu na Tamthilia
ST Zone
ST Sino Drama

Burudani
ST Kung fu
Startimes Real Time
Wasafi tv

Burudani za Kiafrika
Citizen tv
E Stars
ST Swahili

Michezo
ST Sports Focus

Habari
CGTN

Makala
 Safari tv

Watoto
Smile of a child

Habari na Burudani
 TBC
Tv 1
Clouds Tv
EATv
TBC2
ITV
CHANNEL 10
STAR TV
TV E
Kwanza Tv

Dini
Arise and Shine
WRM
ATN
Tumaini Tv
Living Water
Upendo Tv
IBN Tv Africa
Iqraa
TBN

Chaneli za Tanzania
ST Guide
TBC 1
Tv 1
Channel 10
Star tv tz
ITV tz
EATV
Clouds Tv
Tv E
ATN
Safari Tv
Upendo Tv
Sibuka Maisha
Dar es salaam Only
Dira Tv
Arise and Shine
WRM
Tumaini Tv
Living Water
IBN Tv Afrika
Mlimani Tv
Tv Imaan
Kwanza Tv
Mwanza only
Barmedas Tv
Morogoro Only
Top Tv
Abood Tv
Iringa Only
Iringa Tv
Tanga Only
Tanga Tv
Arusha Only
ABC Tv

KUNUNUA | MAFUNDI | USHAURI NA MSAADA ZAIDI KUHUSU STARTIMES
MUDA  08:00 - 20:00
Piga | Whatsapp  +255789476655
Share:

56 Unasemaje..??:

Unknown said...

unajiungaje,mfana kwa tigo pes

Unknown said...

Habari wahudumu, TV Imaan kwenye orodha ya Channel za Startimes mbona sioni au ndo Imeandikwa Deen TV

ELIA said...

Nimelipia 8000 sijapata channel zinasoma not subscribed, card yangu ni 02035749581

Anonymous said...

Please urgently assist no access not subscribed msg displayed dispite of having paid card no. 02035749581

ELIA said...

Nimelipia 8000 sijapata channel zinasoma not subscribed, card yangu ni 02035749581

mpenda watu said...

nimelipia 6000 sijapata channel zinasoma not subscribe card yangu 02035569205

being said...

Kuna chanel gan znaonesha movie za kibongo?

Unknown said...

Card yangu ni 02035575314 sijalipia lakini napata TBC 1 tu Chanel zingine za free sizipati. Shida nini? Maana kwa mujibu Wa sheria Chanel za free natakuwa zipata hata kama sijalipia kifurushi chochote.

Anonymous said...

Waulize Kupitia Hizo No Zao Za Simu Walizoweka

Unknown said...

Nmelipa 60000, kadi yangu ni 02035333502 cjapata channels naambiwa kurecharge nifanyeje!?

Unknown said...

Niko Tanzania vip mbona vifurushi vyevu viko juu ukilinganisha na Azam kwani mwanzoni mnajitangaza vifurushi nilikuwa vya kawaida? Kuna mpango upi wa kuhakikisha tunaangalia Moira wa mpira ligi kuu vodacom ( Tanzania premiers league?) Bila kufanya hivyo nahama. Naomba mlifanyie kazi.

Anonymous said...

Nimelipia elfu 9 ila napata chanel 12 pekee je nyengine nazipataje?

Unknown said...

Mimi nimelipia 10000 namba ya kadi 02035860788 lakini channels hazionyeshi hasa Tanzania mfano clouds hazipo kabisa katika list za channel

Unknown said...

Naitwa omary iddy nimelipia 10000 lakin sipati Chanel yoyote tatzo mini

Unknown said...

Na je vipi kuhusu TV tumaini mbona haipo kwenye orodha

Unknown said...

Nalipia 6000 lakini akifiki mwezi Namba zangu 02035715967

Unknown said...

I would like to join you soon, I have been using zuku all this time,
What a loss!!!

Unknown said...

Nimelipia Tshs. 10,000/= kwa ajili ya kulipia KIFURUSHI cha shs 9,000/=
Naona bado king'amuzi bado kinaonyesha smart card error.
Naomba msaada.
Asante.

Mafikiri Mushi

Unknown said...

Nkilipia 8000/= napata Chanel 7 tu

Unknown said...

Mm nahitaji dish napataje?

Unknown said...

Samahan naomb mnielez kifurush cha mwez unalipaj katik kingamuz cha antena

Unknown said...

Nimelipa 9000 namba yangu ni 02139160381 lakini st swahili na star TV hakuna.shida Nini?

Anonymous said...

Hey! Do you use Twitter? I'd like to follow you if that would be ok.
I'm undoubtedly enjoying your blog and look forward to new updates.

Unknown said...

Nina king'amuzi cha antenna ya nje cha star times na nnahitaji kuunga kifurushi cha nyota, cha mwezi, nitaungaje? Na ni shillingi ngapi kwa mwezi kifurushi hicho?

Unknown said...

Naomba msaada namna ya kulipia

Unknown said...

Naomba msaada jinsi ya kujiunga kifurushi cha 9000

Unknown said...

Naomba msaada jinsi ya kulipia icho cha 9000

Unknown said...

Chanel nyingi hazipo. Uhuni mtupu

Unknown said...

So.many.people are complaining of having paid but not subscribed including myself what is your problem are we being conned?

Unknown said...

Mbn clouds TV kweny decorder ya antenna haipo???

Unknown said...

Nimelipia sh 21000 lakini channel hazifunguki hasa za michezo

Unknown said...

Acheni kudanganya hizi channels hazipatikani zote kama tangazo lilivyo

dm said...

Mbona startimes hawajibu Maswali ya watu hapa? Nlihitaji KUNUNUA Kwenu ila bora niende DSTV

Unknown said...

Mtaalam eti nmelipa 9000 vp hpo na msg imekuja eti 3000 kwa sku sa mbna wanachanya mi nkajua cha mwezi

Unknown said...

Nataka kifurushi cha mambo 12,000 kwa mwezi, kila nikilipia 12,000 naunganishwa cha 6,000 wiki mbili na balance inabaki why?

Unknown said...

Nataka kifurushi cha mambo 12,000 kwa mwezi, kila nikilipia 12,000 naunganishwa cha 6,000 wiki mbili na balance inabaki why?

Unknown said...

Nataka kifurushi cha mambo 12,000 kwa mwezi, kila nikilipia 12,000 naunganishwa cha 6,000 wiki mbili na balance inabaki why?

Unknown said...

Bei ya Dish + installation cost ni sh ngapi kwa sasa?

Unknown said...

Bei ya Dish + installation cost ni sh ngapi kwa sasa?

Unknown said...

nimelipia kingamuzi pia nimebadilisha kadi lakini chanel azionesh baadhi kama novela kwanini

Anonymous said...

Nilikuwa Uhuru nataka niingie kifurushi cha nyota cha kingamuzi cha antenna, hakionekani kwenye option zenu, nifanyeje?

Unknown said...

Kimya hamjibu..maswali

Unknown said...

Namba yangu ya card 01819360796 nikilipa kifurushi cha 10000 kinaonyesha siku 18 kwanini naomba msaada

mgallason said...

Habari, kingamuzi changu ni cha awali kabisa cha antena ya kawaida kwa maana miba ya samaki kilikuwa hakina hitilafu yoyote awali lakini sasa hivi naona kina stuck sana. can you help me please.

Unknown said...

Acheni uhuni nimelipia 19000 kimetumika siku kumi na tatu tu bora kukunua bando la simu huo ni wizi kabisa

Unknown said...

Hivi kwa sasa kifurushi cha nyota napata Chanel ngapi na in zipi?

Anonymous said...

Siwasomi start times

Unknown said...

Ili nipate novela ile yenye series za kifilipino nijiunge kifurushi kipi?

Unknown said...

Nimenunua kifurushi sijapata huduma. Nimebadili kifurushi changu kutoka uhuru kwenda mambo. Nililipia 9000 kwa ajili ya kifurushi Cha nyota lakini kwenye list ya kubadili kifurushi haipo ndo maana nikachagua kifurushi cha mambo! Naomba msaada nifanyaje?

Unknown said...

Card yangu ni namba 02155904908

Unknown said...

Card yangu ni namba 02155904908

Unknown said...

Nimenunua kifurushi sijapata huduma. Nimebadili kifurushi changu kutoka uhuru kwenda mambo. Nililipia 9000 kwa ajili ya kifurushi Cha nyota lakini kwenye list ya kubadili kifurushi haipo ndo maana nikachagua kifurushi cha mambo! Naomba msaada nifanyaje?

Unknown said...

How can I recharge my package?

Anonymous said...

Is this guy even alive. Haiwezekani tangu 2015 kila kitu ni kile kile,no any updates!! Hapa hakuna hata haja ya kuuliza kitu.

Unknown said...

Jaman me cioni izo channel

kasinje said...

Jamani mnasema nyota kwa mwez ni 8000 mbona me nikinunua napata wiki 2 tuu kwan cha mwez shingap jaman?

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita