Oct 10, 2015


PIGA SIMU +255789476655
 • Jitambulishe na mahali ulipo.
 • Chagua king'amuzi chochote kwa matakwa yako.
 • Tutakushauri kabla hujanunua king'amuzi ulichokusudia na vyengine kama utapenda.
 • Tutakapofika muafaka unaletewa king'amuzi ulipo.
 • Na fundi anakufungia papohapo kama ukihitaji hivyo.
 • Kisha unafanya malipo ukiwa hapo ulipo baada ya kuletewa na kufungiwa.
 FAIDA ZA KUNUNUA NA KUFUNGIWA NASI:
 • Chochote kikitokea tunahusika asilimia 100
 • Fundi hatoondoka mpaka kuhakikisha umepata picha (umeona channel)
 • Ufundi ndani ya miezi mitatu ni bure baada ya kufungiwa.
 • Tupo kijamaa zaidi,wateja wetu ni ndugu zetu hivyo upo huru kuzungumza.

+255789476655
3:57 AM   Posted by Mustapha Hanya with 4 comments

4 Unasemaje..??:

geofrey joel said...

Mnapatikana Tanzania nzima?

Anonymous said...

igunga mpo au vp

Unknown said...

Nataka kupata vifurushi vya DIGITEC NA GHARAMA ZAKE NA JINSI YA KULIPIA AHSANT

magreth mziray said...

Jinsi ya kulipia kingamuzi cha DIGITEC NA VIFURUSHI VYAKE PAMOJA NA GHARAMA

Call +255789476655

 • Text +255759091445

Follow

Search