Oct 15, 2015

ZUKU TV TANZANIA VIFURUSHI NA BEI MPYA


 Tsh 75000/= Unapata king'amuzi kikiwa na muda wa kuona wa mwezi mmoja.
Inakuwa na vifaa vyote kama:Dish,Decoder,LNB,Cable na stendi.
HII INAKUWA BILA UFUNDI 
Kwa sasa kuna vifurushi vinne tu navyo ni kama ifatavyo:-
  1. ZUKU CLASSIC TSH 15,500 Per Month - Channels 69. Bofya hapa
  2. ZUKU PREMIUM TSH 22,500 Per Month - Channels 100. Bofya hapa
  3. ZUKU ASIAN TSH 24,000 Per Month - Channels 27 Bofya hapa
  4. ZUKU ASIAN ( yenyewe ) TSH 32,000 Per Month - Channels 33 Bofya hapa
Kwa maelezo zaidi ama msaada kiufundi.
+255659161111/789476655
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Tunaomba mtuwekee list ya channels ili tupate kujua kwa kila kifurushi

Wasifu blogger said...

Hiyo ya 32,000 unapata na Indian movie or channel zote kwa ujumla?